Chapter 06 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
Cheza ! Fagia ! Fanya kazi ! Ingia ! Toka ! Choreni ! Limeni ! Rukeni ! Tokeni ! Fanyeni kazi !
Usiandike ! Usicheze ! Usivunje ! Usilie ! Usipite ! Msiandike ! Msingie ! Msiruke ! Msicheze ! Msitoke !
Mgeni, mtoto, msichana, mume, mwanamume, mwanamke, mke, mwingereza, mzungu, mwislamu, mpishi, mwalimu, mwizi, mzee, mfaransa.
Wanadamu, waafrika, wahindi, wafaransa, watu, wavulana, wana, watoto, wajerumani, wake, waume, wanafunzi, wakulima, wajomba, wanyama.
EXERCISE 2 : Translate into English :
A person, an animal, an insect, a human being, a Muslim, a Christian, a white man, an African, a French, a child, a young man, a young girl, Dad, a brother, Mum, a sister, an uncle, an aunt, a blind man, a day laborer.
Farmers, teachers, students, day laborers, men, women, Italians, people, guests, patients, Arabs, cooks, thieves, old men, sisters, brothers, friends, ladies, gentlemen, youths.
EXERCISE 3 : Put the nouns in the plural :
Wanafunzi, waislamu, wana, wezi, wazee, wazungu, wahindi, wanyama, waume, wake, wanaume, wanawake, wageni, waarabu, waafrika, wajomba, vijana, rafiki, vipofu, vibarua, dada, shangazi, mabibi, mabwana, madereva.
Close this window to come back to the exercises
|