Chapter 17 - Key to Exercises



EXERCISE 1 : Translate into Swahili :

  1. Wao ni wanafunzi, ni vibarua, mti huu ni mwembe, wewe ni mwalimu, ni kisiwa, kikapu hiki tupu, kitabu hiki ghali, sisi ni wageni, mtihani huu ni mzito / mgumu, chakula hiki ni kitamu, mnyama huyu si mkali, mimi si mwingereza, Hamisi si mwanafunzi, kisu hiki si kikali, kiarabu si rahisi, mzigo huu si mzito, wanafunzi hawa si hodari, Fatuma si mwema, viazi hivi si vizuri, wao si watanzania.

  2. Walimu wako wapi ? mpishi yupo wapi ? Wanawake wapo wapi ? mji uko wapi ? choo kiko wapi ? kisu kiko wapi ? Viboko wapo wapi ? Gari liko wapi ? vijana wapo wapi ? Mzee yupo sokoni, kisu kiko kitini, mama yupo jikoni, vitunguu vimo kikapuni, mizigo ipo mlangoni, wanyama wako porini, mwizi yuko shambani, viti vipo barazani, wageni hawapo, mama hayupo nyumbani, mzigo haipo kitini, mayai hayamo kikapuni, hayumo chumbani, blanketi halipo kitandani, gari haliko mjini.


EXERCISE 2 : Translate into English :

  1. How are you ? - Fine.
  2. Are you ready ? - We are not ready.
  3. Food is ready ? - It's ready. Welcome to the meal !
  4. Our director is Tanzanian.
  5. This servant is a liar.
  6. Where are the guests ?
  7. They are in Zanzibar. They have arrived this morning.
  8. The master is not here. He is travelling.
  9. Where is Hamisi ?
  10. He is at the shop. He's buying bread and milk.
  11. Are the day laborers in town ?
  12. No, they are on the farm. They are making ridges.
  13. Mother / Madam is not here ? - I'm here !
  14. The spoons and utensils are in the kitchen.
  15. Mount Kilimanjaro is not in Kenya.
  16. It is in Tanzania.


 Close this window to come back to the exercises