Chapter 18 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
Una, ana, wana, tuna, nina, mna, ana, huna, hana, hawana, hatuna, sina, hamna, pana, hapana, mna, hamna, kuna, hakuna.
Una kitabu ? Mtoto ana kichwa kikubwa, kijana huyu ana kisu, ana kitabu, tuna wanyama wengi, Mama ana watoto wengi, wale watoto wana mwalimu mzuri, mna mapapai ? Juma ana viatu safi, nina kikombe kipya, kijiji hiki kina wenyeji wengi, mnyama huyu ana wadudu wengi, una mikono yako michafu, kilima hiki kina miti mengi, kitanda hiki kina shuka jipya, hatuna watoto, una mayai ? Dereva hana gari, gari halina dereva, mkulima ana shamba kubwa.
EXERCISE 2 : Translate into English :
- The white man has heavy luggage.
- I have nothing to say.
- Is there bread ? - There isn't.
- Those mango trees have a lot of mangoes.
- This poor child hasn't food everyday.
- There are a lot of inhabitants in Nairobi.
- This car has many problems.
- The members have a meeting today.
- This bed has no sheet.
- We have a Swahili exam today.
Close this window to come back to the exercises
|