Chapter 28 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
- Watu hawa hawana ng'ombe wala mbuzi.
- Amekuja jana lakini ameshakwenda.
- Mtoto analia kwa sababu amepotea.
- Ijapo chakula hiki ni kitamu, mtoto hakikula.
- Anafanya haraka ili afike kwanza.
- Sina fedha, kwa hiyo siwezi kununua kitu.
- Anasema kwamba atarudi kesho.
- hujui kwamba babu yako yumo hospitali ?
- Unafanya kazi kama punda.
- Tumefika skuli kwa miguu.
EXERCISE 2 : Translate into English :
- This word is not true, on the contrary it's a lie.
- He cries because his mother is sick.
- I need new shoes but I have no money.
- The teacher says he will be a little late.
- I go to the market early, in order to get meat.
- Bring coffee or tea.
- I eat food before going to work.
- He rests after coming back home.
- The children have eaten rice with sauce.
- We are going to Iringa by bus.
Close this window to come back to the exercises
|