Chapter 29 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
Mwana wa baba, wana wa mama, mkoba wa mamangu, nyumba ya wazazi wangu, mpira wa mtoto, sahani za watoto, vyombo vya kaka yangu, nguo za dada yangu, chakula cha wanafunzi, gari la babake, dawa za mamangu, uso wa mwenzangu, nyuso za wenzangu, kijiji cha wavuvi, gunia la makaa, debe ya vitunguu, kilo moja ya nyama, njia ya nyumba, kisima cha kijiji, msomo wa kiswahili.
Mwanangu, wanangu, gari langu, nyumba yangu, kazi yangu, kijiji chako, mjomba wako, nduguzo, babako, mkoba wako, mbwa wako, mumewe, mkewe, wenzake, duka lake, fedha zake, wenzetu, nyumba yetu, shule yetu, mji wetu, mawaziri wetu, nchi yenu, gari lenu, wana wenu, nyimbo zenu, wanafunzi wenu, nguo zao, nyumba yao, nyuso zao, wenzao.
Wangu (mkoba), yangu (mama), wako (mpira), wangu (wanafunzi), lake (shamba), zako (kuku), letu (gari), yake (mashuka), zetu (nguo), chenu (kijiji), zenu (ng'ombe), yao (hospitali), yao (mazao), lake (blanketi), vyake (vikombe).
EXERCISE 2 : Translate into English :
- I'm going away.
- Mother is not in her kitchen.
- Where is your place ?
- The child is not at school, he has gone back home.
- This malignant person has seized my bag.
- there is a lot of corn at our place.
- Whose bag is it ? - It's mine.
- Let's go away quickly !
- This poor man is homeless.
- Are you alone ? - Yes, my comrades have gone away.
Close this window to come back to the exercises
|