Chapter 39 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
Punguza bei ! Simamisha gari hapa ! Jaza kikapu hiki ! Ingiza paka ! Watembeze watoto ! Niendeshe mjini ! Pasha moto ! Amsha watoto ! Rudisha vitabu ! Mfahamishe babako ! Tayarisha mizigo ! Safisha chumba ! Usinichekeshe ! Usiniumize ! Pitisha sahani !
Ninafundisha kifaransa, daktari aliponya mgonjwa, mama aliamsha watoto, alipasha moto, alichemsha maji, alitayarisha chakula, dada yangu alisafisha chumba cha kulalia, babangu alilisha wanyama, Nilimkopesha fedha, mwanafunzi alipoteza vitabu vyake.
EXERCISE 2 : Translate into English :
- Explain this lesson to me.
- Give me back my books tomorrow.
- I have lost my umbrella.
- Go and feed those animals.
- Lower your price a little. what's your last price ?
- Open your ears and listen to me attentively !
- Make sure that nobody knows your secret !
- The doctor cured the sick child.
- I beg you to lend me a little money.
- I will give it you back at the end of the month.
Close this window to come back to the exercises
|