Chapter 46 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
- Ukipenda, wakila, nikinywa, mti ukianguka, akijibu, ukidhani, wakifika, nikikupa, akifa, akituambia, ukipata ruhusa, chakula kikiletwa, akipata mayi, ukiniambia jina lako, barua zakiletwa.
Alikuwa akisoma, nilimwona akicheka, nilimsikia akiimba, watakuwa wakicheza kesho, wamechoka kwa sababu wamekuwa wakicheza, nilimwona mti ukianguka, waliwaona wageni wakifika, alikuwa akipika, chakula kilikuwa kikiiva, nimekuona ukilia.
Mwalimu alikuwa akifundisha kusoma na kuandika, Wamasai watakuwa wakicheza ngoma kesho usiku, tulikuwa tukifanya kazi porini, ukifika kesho nitakupa fedha, ukiwaona wanyama utakuwa na bahati.
EXERCISE 2 : Translate into English :
- I saw the teacher building his house.
- If we don't get rain, the corn wont grow.
- If you go to Mombasa today, you'll see our children playing football.
- If the food is not cooked, it won't be convenient.
- If you go to Nairobi, buy me different things.
- He was driving his car too fast.
- We saw our pupils playing in town.
- The old man was sleeping during the meeting.
- If you go there, you'll see the farmer cultivate his farm.
- If you try hard, you'll be able to speak fine Swahili.
- If I don't get rest now, I'll be very tired.
- That he comes or no, is all one to me.
Close this window to come back to the exercises
|