Chapter 47 - Key to Exercises



EXERCISE 1 : Translate nto Swahili :

  1. Ningependa, ningefanya, ningechukua, nisingekuwa na, nisingekwenda, usingetaka, ungeweza, ungekuja, usingekula, ungesimama, angekopesha, angejaza, asingehesabu, angefukuza, angechafya, tusingechoka, tusingejua, tungerudi, tungevaa, tungepita, mngesoma, mngekaribia, msingeleta, msingehama, mngenunua, wangecheka, wasingekasirika, wangetumaini, wasingedharau, wangeelewa.

  2. Ningaliacha, nignalifanya, nisingalijibu, nisingeona, ungaliandika, ungalikuta, usingalijua, asingalingoja, angalipata, asingalikubali, tungalikuja, tungalikutana, tusingalikuwa, mngalikuwa, mngalifagia, msingalichagua, wangaliajiri, wangalichimba, wangalikusanya, wasingalipenda.


EXERCISE 2 : Translate into English :

  1. If you didn't smoke cigarettes.
  2. He could come today.
  3. If you asked me.
  4. If you had not drunk that local beer.
  5. If they had not entered that room.
  6. We would know Swahili.
  7. If the luggage had been brought here.
  8. If seeds were planted.
  9. The old man wouldn't have died.
  10. If I wasn't sick.
  11. If you had sent a letter.
  12. We would be paid wages.


 Close this window to come back to the exercises