Chapter 53 - Key to Exercises
EXERCISE 1 : Translate into Swahili :
- Nitakwenda Uingereza mwaka ujao.
- Mtoto asomaye ni mtoto atakayefaulu katika maisha yake.
- Nadhani mwezi ujao itakuwa na mvua nyingi.
- Mtihani utaanza alhamisi ijao.
- Natafuta mtu auzaye pembe za tembo.
- Kuna mtu asemaye kifarantsa hapa ?
- Watu wapigao kura si wengi.
- Ninatafuta nyumba la kukodi itufaayo.
- Walimu wafundishao watoto hawa ni wazungu.
- Tutaonana wiki ijayo.
EXERCISE 2 : Translate into English :
- These are pupils who like studying.
- Don't tell me meaningless words.
- I will pay you a decent salary.
- Help me with the trunks that I have.
- As you know, the elephants have destroyed our harvests.
- Our problems are the very ones that you know.
- Give me the equipment which is in the cupboard.
- It's not easy to get shoes that fit.
- I seek day labourers who cultivate well.
- The most intelligent child will get a gift.
Close this window to come back to the exercises
|