Chapitre 22 - Corrigés des Exercices



EXERCICE 1 : Ecrivez ces nombres en lettres en swahili :

Sifuri ; tisa ; ishirini na mbili ; thelathini na moja ; themanini na tisa ; tisini na tatu ; mia moja hamsini na saba ; mia mbili thelathini na tano ; mia sita tisini na tano ; mia saba sitini na mbili ; elfu moja arobaini na tisa ; elfu mbili mia mbili na tatu ; elfu saba ; elfu kumi hamsini na sita ; elfu kumi mia tisa kumi na nne ; kumi na nne elfu ; elfu kumi na nne na tano ; laki moja thelathini na nne elfu ; laki tatu ; laki saba hamsini na mbili elfu mia tatu ishirini na sita.


EXERCICE 2 : Ecrivez ces nombres en chiffres :

15 ;    19 ;    27 ;    31 ;    44 ;    58 ;    73 ;    85 ;    200 ;    400 ;    700 ;    316 ;    5.000 ;    10.000 ;    12.574 ;    15.000 ;    42.000 ;    100.000 ;    700.000 ;    2.000.000 .


EXERCICE 3 : Traduisez en swahili en écrivant les nombres en toutes lettres :

Vikombe kumi na viwili ; miti thelathini ; viti kumi na kimoja ; miaka ishirini na minne ; watoto watatu ; mbwa wawili ; paka watatu ; ng'ombe kumi ; visiwa mia moja kumi na vitano ; watu ishirini na mmoja ; magari manne ; machungwa manane ; vijiko vinne ; nyumba kumi na mbili ; vijana watatu ; masomo kumi na manne ; wanyama kumi na wanane ; ndizi nne ; wanafunzi mia mbili ishirini na watano ; walimu ishirini na wawili.



 Fermez cette fenêtre pour revenir aux exercices